Login | Register

Sauti za Kuimba

Asante Bwana Yesu Lyrics

ASANTE BWANA YESU

{ Asante Bwana Yesu,
Kwa mema uliotupa } *2
Chakula cha rohoni,
Bwana umetupa.
Kinywaji cha rohoni,
Bwana umetupa.

  1. Umetulisha sisi - asante Bwana Yesu
    Kwa mwili wako bora
  2. Umetunywesha sisi-
    Kwa damu yako bora -
  3. Leo umenifunza aa -
    Kwa mfano wako bora -
Asante Bwana Yesu
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
  • Comments