Login | Register

Sauti za Kuimba

Ee Yesu Wangu Nakupenda Lyrics

EE YESU WANGU NAKUPENDA

@ John Maja

Ee Yesu wangu nakupenda mimi
Chakula cha yangu roho
wewe ni chakula cha yangu roho
Kila siku nakuwaza wewe
Shinda nami ukae nami ndani yangu

 1. Chakula hiki ni mwili wangu
  Kinywaji hiki ni damu yangu
  Tule tupate uzima wa milele
 2. Nisipokula huu mwili wangu
  Msipokunywa hii damu yangu
  Kamwe hamtakuwa na uzima
 3. Alaye mwili na damu yangu
  Hukaa ndani nami ndani yake
  Nitamfufua siku ya mwisho
Ee Yesu Wangu Nakupenda
COMPOSERJohn Maja
CHOIRSt. Antony of padua Magomeni
ALBUMTwende Mezani
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
SOURCETanzania
 • Comments