Login | Register

Sauti za Kuimba

Twende Mezani Kwa Bwana Lyrics

TWENDE MEZANI KWA BWANA

@ G. Matui

{ Twende mezani kwa Bwana tukale chakula
(cha Bwana) atualika (Bwana) Bwana
Sisi twende mezani kwake, tukale chakula } *2

  1. Bwana asema, karibuni pasi wasiwasi
    Mpate chakula, mkila mpate uzima ujao
  2. Bwana asema, chakula nitakachowapa
    Ni mwili wangu, kuleni mpate uzima ujao
  3. Bwana asema, kinywaji nitakachowapa
    Ni damu yangu, kunyweni mpate uzima ujao
Twende Mezani Kwa Bwana
COMPOSERG. Matui
CHOIRSt. Antony of padua Magomeni
ALBUMTwende Mezani
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
SOURCETanzania
  • Comments