Maisha Yetu ni Mafupi

Maisha Yetu ni Mafupi
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Maisha Yetu ni Mafupi Lyrics

 1. Maisha yetu ni mafupi, kweli hapa duniani,
  Tuishi tukijihadhari,mwokozi yu karibu kuja

  Ee Bwana twaomba tuokoe, dhambi zetu ni nyingi sana,
  Utupe neema yake Bwana kila siku tukuishie *2

 2. Watoto, vijana, wazee, sote tumepungukiwa,
  Na utuku mwako Bwana, tuonyeshe njia ya ukweli.
 3. Jitu limetuzingira, sote tuko hatarini na Moyoni tumeshamezwa,
  Naye yule mwovu tuondoe katika giza.