Login | Register

Sauti za Kuimba

Neema ya Ndoa Lyrics

NEEMA YA NDOA

Neema ya ndoa iwape shime *2
Neema ya ndoa iwape shime,
Katika kmashaka yote, mashaka yote *2

  1. Hivi ndivyo mtu mwenye
    Kumcha Bwana atakavyobarikiwa naye.
  2. Upate kuwaona watoto wako.
    Amani kwa Israeli.
Neema ya Ndoa
CATEGORYHarusi
  • Comments