Bwana Aliridhika Kumchubua

Bwana Aliridhika Kumchubua
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerCharles Saasita
Views2,572

Bwana Aliridhika Kumchubua Lyrics

  1. Bwana aliridhika kumchubua, amemhuzunisha
    Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu, dhabihu kwa dhambi

    {Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi
    Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake } *2

  2. Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake
    Na kuridhika, na kuridhika
    Naye atayachukua maovu yao
  3. Kwa maarifa yake mtumishi wangu
    Ataridhika, ataridhika
    Naye atafanya wengi kuwa wenye haki