Hii ni Kwaresma

Hii ni Kwaresma
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views7,886

Hii ni Kwaresma Lyrics

  1. { Hii ni kwaresma,
    hii ni kwaresma, mwanadamu ukumbuke }*2

    { Ndio wakati wa kuacha dhambi
    Ndio wakati wa kuacha maovu
    Ndio wakati wa kufunga na kutoa sadaka kwa maskini } *2

  2. Rarueni mioyo yenu wala sio mavazi
  3. Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote kwa kufunga na kwa kulia na kwa kuomboleza