Yatangazeni Mliyoyasikia Lyrics

YATANGAZENI MLIYOYASIKIA

@ Renatus Rwelamira

Nendeni na amani, misa imekwisha
Nendeni mkayatangazeni yote mliyoyasikia
Katika masomo injili na mahubiri.
Tazama Kristu Bwana yupo nasi daima-
Daima mpaka ukamilifu wa dahari

  1. Neema na baraka mlizozipata
    Zikae nanyi siku zote
  2. Ishi kwa upendo amani umoja
    matunda ya Ekaristia
  3. Na yahubirini mliyoyasikia
    kwa matendo na miendo yenu
Yatangazeni Mliyoyasikia
ALT TITLENendeni na Amani
COMPOSERRenatus Rwelamira
CHOIRSt. Monica Lower Kabete Campus UoN
ALBUMToba Yangu
CATEGORYRecession
MUSIC KEYE Flat
TIME SIGNATURE4
4
NOTES Open PDF
  • Comments