Fadhili za Bwana

Fadhili za Bwana
ChoirSt. Monica Lower Kabete Campus UoN
AlbumToba Yangu
CategoryZaburi
ComposerRenatus Rwelamira
Musical Notes
Timesignature2 4
MusickeyE Major
NotesOpen PDF

Fadhili za Bwana Lyrics


Fadhili, Fadhili za Bwana nitaziimba milele*2
Kwa kinywa changu nitavijulisha (vijulisha)
vizazi vyote uhaminifu wako
Nitavijulisha, uhaminifu wako.


1. Maana nimesema, nimesema fadhili zitajengwa milele,
katika mbingu utaudhibitisha uaminifu wako

2. Nimefanya agano,na mteule wangu nimemwapia Daudi,
mtumishi wangu,kuwa wazao wako nitawafanya imara milele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442