Tuwatunze Watoto

Tuwatunze Watoto
Choir-
AlbumToba Yangu
CategoryFamilia
ComposerBontuta Boniface

Tuwatunze Watoto Lyrics


Watoto wetu ni Baraka tu,na tuwatunze watoto wetu,
hawataacha njia, Mwenyezi, kwa neema anayowajalia
(basi wapenzi) tulee watoto kwa mapendo,
(hivyo ndugu) tulee watoto kwa hekima nao waimarike
(ni baraka) tulee watoto kwa hekima nao waimarike.


1. Ni bahati kabisa tuliyojaliwa,
tujitolee kuwalea ipasavyo ha!
Na kuwafunza yaliyo mema kijamii

2. Kweli wengine wanahusisha watoto,
wadogo kwa mambo yasiyoeleweka ha!
Na kuwafunza yasiyofaa kijamii

3. Tusiwatese watoto Mungu asema,
acheni wote waje kwangu nawapenda ha!
Tuwafundishe yale yanayostahili

4. Na vile watoto uwaleavyo wewe,
usiwanyime haki zao uwalinde we!
Uwapende uwatunze uwatumikie

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Huniongoza Mwokozi 5814856
Tazama Tazama 7482442