Maonyo Mbali Mbali

Maonyo Mbali Mbali
Performed by-
CategoryTafakari
ComposerF. E. Nyanza
Views2,489

Maonyo Mbali Mbali Lyrics

  1. { Usitende ovu, usitende ovu,
    Jitahidi kukaa mbali na dhambi
    Ndugu jihadhari na usitende dhambi mara mbili
    Kwani hata kama dhambi moja haitakosa adhabu } *2

    { Usiseme Bwana atatazama sadaka na wingi wa sala
    Usiwe (daima) mlegevu katika kusali na kutoa sadaka
    Usitunge uongo kwa kuwa hakuna tumaini kwa hilo
    Usihesabika pamoja na waovu kwani kumbuka ghadhabu haikawii } * 2
  2. Ujinyenyekeze sana roho yako
    Kwa maana dhabu ya wakosaji ni moto na kufa
  3. Wala usimbadili rafikiyo kwa chochote
    Wala ndugu yako kwa dhahabu ya pili