Astahili Mwanakondoo

Astahili Mwanakondoo
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumBwana Kafufuka
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerG. F. Handel

Astahili Mwanakondoo Lyrics

 • Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa,
  Na kutukomboa kwa damu yake,
  Kupokea enzi utajiri na hekima,
  Na nguvu, na heshima, utukufu na baraka
 • Astahili Mwanakondoo aliyechinjwa,
  Na akatukomboa, kwa damu yake
  Kupokea enzi, utajiri, na hekima
  Na nguvu, na heshima, utukufu na baraka
 • ___
  /t/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
  aketiye juu juu ya kiti cha enzi,
  aketiye juu ya kiti cha enzi
  milele milele milele milele milele milele milele mile-le
  na Mwanakondoo
 • /s/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
  aketiye juu ya kiti cha enzi cha Mwana kondoo
  milele milele milele, utukufu
  Aketiye juu ya kiti na mwanakondoo
 • /a/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye milele milele milele
  aketiye juu ya kiti cha mwanakondoo
  /b/ Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
  aketiye juu ya kiti cha enzi na Mwana kondoo
 • ___
  /b/ Baraka heshima utukufu una yeye milele
  aketiye juu yaaa kiti na Mwanakondoo milele na milele
  Na mwanakondoo milele
  /a/ Baraka heshima utukufu una yeye utukufu una yeye
  aketiye juu ya kiti
  aketiye juu ya kiti milele na milele
  na mwanakondoo milele
 • /s/ Baraka heshima utukufu una yeye utukufu una yeye
  aketiye juu aketiye juu ya kiti milele na milele
  na mwanakondoo milele
  /t/ Baraka heshima utukufu una yeye na mwanakondoo
  milele na milele
  na kwa mwana kondoo milele
  ___
  [s/a/t] Baraka heshima utukufu una yeye yeye
  [t/b] Baraka heshima nguvu utukufu una yeye
  Baraka! Heshima!! nguvu! utukufu una yeye!
  Aketiye juu ya kiti cha enzi milele milele
  Milele na milele *6
  ___
 • [b] A-men, a--men . . . .
  [t] A-men, a--men . . . .
  [a] A-men, a--men . . . .
  [s] A-men, a--men . . . .
  ___
 • [w] A--men . . . .
  Amen Amen!