Atukuzwe Mungu

Atukuzwe Mungu
Choir-
CategoryWatakatifu
Composer(traditional)
SourceDar-es-Salaam Cathedral

Atukuzwe Mungu Lyrics

Atukuzwe Mungu atukuzwe Mungu -
Atukuzwe Mungu atukuzwe
Litukuzwe Jina lake Takatifu -
Atukuzwe Mungu atukuzwe

Atukuzwe Yesu Kristu Mungu na mtu -
Litukuzwe Jina lake takatifu -

Utukuzwe moyo wake Mtakatifu -
Itukuzwe damu yake takatifu -

Katika sakramenti Yesu atukuzwe -
Roho Mtakatifu Mfariji atukuzwe -

Atukuzwe Maria mama wa Mungu -
Aliyekingiwa dhambi ya asili -

Aliyepalizwa Mbinguni Maria atukuzwe -
Litukuzwe Jina la Mama na Bikira -

Atukuzwe Yosefu mchumba wake safi -
Katika malaika na watakatifu -

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442