Amani Tele

Amani Tele
ChoirWatakatifu Mashahidi wa Uganda Singida
CategoryTafakari
ComposerE. F. Jissu
SourceParokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Singida

Amani Tele Lyrics

1. Bwana ni kinga yangu mimi, sasa nimwogope nani
Bwana ni ngome yangu mimi, sasa nimhofu nani


Amani amani amani amani
Mimi nina amani tele
Kwa upande wala sihofu kitu wala siteteleki
Najionea fahari ni katika Bwana (kweli)
Mambo yangu yote ni katika Bwana2. Naimba kwa sauti kubwa watu wote wasikie
Na kwa wale wasosikia . . .

3. Furaha yangu kubwa mimi kukushirikisha wewe
Ujue kwamba Mungu yupo tena yu kati yetu

4. Mashariki na magharibi ujumbe huu uwafikie
Pande na kingo za dunia wajue na Mungu yupo

Vijana tubadilike kweli Mungu yupo
Tushangilie tufurahi ndugu kweli Mungu yupo
Sisi tunahangaika kwa nini Bwana Mungu yupo
Tushangilie tufurahi ndugu kweli Mungu yupo

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442