Zipazeni Sauti Zenu Lyrics

ZIPAZENI SAUTI ZENU

@ G. F. Handel

 • Zipaazeni sauti zenu, makerubi, maserafi
  Mwimbieni Mungu wetu mwimbieni Mungu wetu
  Aleluya aleluya . . . msifu Mungu
 • Zipazeeni, (aleluya . . .)
  sauti zenu, makerubi, maserafi
  mwimbieni aleluya....
  aleluya mwimbieni Mungu
 • Mwimbieni makerubi maserafi
  makerubi maserafi, makerubi maserafi
  makerubi mwimbieni aleluya - - -
 • Zipazeeni sauti zenu
  mwimbieni Mungu wetu *4
  aleluya . . .
Zipazeni Sauti Zenu
COMPOSERG. F. Handel
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
CATEGORYZaburi
 • Comments