Chochote Umtendeacho Lyrics

CHOCHOTE UMTENDEACHO

Chochote chochote chote
Chochote umtendeacho mwenzio,
Ujue kwamba umenitendea mimi

 1. Nilipokuwa na njaa,
  We ukanipa chakula
  Nilipokuwa ni mgeni
  We ukanikaribisha
 2. Nilipokuwa na kiu
  We ukanipa maji
  Nilipokuwa bado ni uchi
  We ukaja kunivika
 3. Nilipokuwa mgonjwa
  We ukaja kuniona
  Nilipokuwa gerezani
  We ukanitembelea
Chochote Umtendeacho
CHOIRSt. Cecilia Zimmerman
CATEGORYTafakari
 • Comments