Wewe Petro Utanikana

Wewe Petro Utanikana
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryTBA

Wewe Petro Utanikana Lyrics


{ Wewe Petro, nakwambia, utanikana mara tatu
Kabla ya jogoo kuwika, wewe Petro utanikana } *21. Simoni Petro akamwambi, Bwana unakwenda wapi
Yesu akamjibu, niendapo huwezi kunifuata sasa
Lakini utanifuata baadaye

2. Petro akamwambia, Bwana,
Kwa nini mimi siwezi kukufuata sasa
Mimi nitatoa uhai wangu kwa ajili yako

3. Yesu akamjibu, je wewe utautoa uhai wako kwa ajili yangu
Amin amin nakuambia wimbi hatawika
Hata wewe utakapokuwa umenikana mara tatu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442