Login | Register

Sauti za Kuimba

Kila Mwenye Pumzi Lyrics

KILA MWENYE PUMZI

@ J. C. Shomaly

Kila mwenye pumzi naye, amsifu Mungu
Na kila kiumbe kimwimbie Mungu
{ Kukipambazuka na tucheze wote, kwa furaha
Mchana wa jua na mawio, na tuserebuke } *2

 1. Siku za kuishi siyo nyingi,
  Tusijivunie mali yote ya dunia
 2. Kwa jina la Baba na Mwana
  Na Roho Mtakatifu milele amina
 3. Twaamini Mungu ni mmoja
  Asifiwe siku zote aliyetuumba
 4. Leo tuko hai tufurahi,
  Ya kesho ajua Mungu tumpeni sifa
Kila Mwenye Pumzi
ALT TITLEKila Kiumbe Kimsifu
COMPOSERJ. C. Shomaly
CATEGORYThanksgiving / Shukrani
 • Comments