Sala Yangu Ipae

Sala Yangu Ipae
Choir-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerL. Komba
Musical Notes
Timesignature3 8
MusickeyD Major
NotesOpen PDF

Sala Yangu Ipae Lyrics


Sala yangu ipae mbele yako Bwana * 2
{ Kama moshi wa ubani altareni,
Na kuinuliwa kwa mikono yangu
Iwe kama sadaka, sadaka ya jioni } * 2


1. Ee Bwana tunakutolea sadaka yetu,
Pamoja na maisha ya kila siku.

2. Uwe radhi kuipokea sadaka yetu,
Kama zile za mababu wa zamani.

3. Hivyo sadaka ifane mbele zako Bwana,
Na iwe sadaka ya shukrani kubwa.

4. Nasi utubariki maisha yetu yote,
Na mwisho utujalie heri yako.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442