Kaung'a Yachee Lyrics

KAUNG'A YACHEE

@ Boniface Mganga


  Mkiri odu Jesu dakuvoya, iside wanyonge
  Ngolo redudari gunya kwako
  Dakulomba kuditesie, dakulomba kudihoreshe

  { Kaung'a yachee, Kaung'a yachee,
  Kaung'a yachee wurumwengunyi, yadiredia makongo } *2

  { Kaung'a ya dinjira sere
  Kaung'a ya dinjira ndigi (wooi)
  Yadiredia kifwa na wasi
  Kaung'a ya di Tanya na Mlungu } *2

  1. { Na mfwano dichamneka, choka kuka ka kusei barie chongo
   Yadaredelwa malemba ni mbao,
   naiya pata mruke na kwenda } *2
  2. { Da agenda kwa waganga, da-funya mafungu malazi
   Da-rigi twa na kuchugwa ngoru, da-liwa mganga ni Jesu } *2

   (Wooi) Kaunga ya ditanya na Mlungu *3
Kaung'a Yachee
COMPOSERBoniface Mganga
CHOIRMuungano Choir
CATEGORYTafakari


Mwokozi wetu Yesu twakuomba, sisi tu wanyonge
Roho zetu twazitoa kwako, twakuomba utusaidie
Twakuomba utuponyeshe.

Dhambi ilikuja , dhambi ilikuja
Dhambi ilikuja ulimwenguni ikatuletea magonjwa
Dhambi imeondoa-usalama
Dhambi imetuondolea nguvu
Katuletea kifo na shida
Dhambi imetutenga na Mungu

Na mfano tutawapa, nyoka usipompasua kichwa
Analetewa majani na mwenzake
anapata joto na kwenda

Twaenda kwa waganga twatoa kweli pesa nyingi sana
Tunatibiwa na kuchanjachanjwa
Twasahau mganga ni Yesu
 • Comments