Mimi Ndimi Njia

Mimi Ndimi Njia
Alt TitleBwana Akawaambia
ChoirSt. Joseph Migori
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerAlfred Ossonga

Mimi Ndimi Njia Lyrics

Bwana akawaambia tena akasema,
Mimi ndimi njia ukweli na uzima *2
Mtu haji kwa Baba yangu, ila kwa njia yangu mimi
Mimi ndimi njia ukweli na uzima

  1. Mtu akinipenda, atalishika neno langu,
    Na Baba yangu atampenda
  2. Kaeni ndani yangu nami, nikae ndani yenu
    Kwa maana mimi ni mzabibu
  3. Mimi ni njia kweli, mimi ni njia ya uzima
    Ajaye kwangu ana uzima