Nitajongea Mbele ya Meza

Nitajongea Mbele ya Meza
ChoirSt. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam
CategoryEkaristia (Eucharist)

Nitajongea Mbele ya Meza Lyrics

Nitajongea mbele ya meza (yako) nipokee *2
{ Roho yangu Yesu inakutamani
Ukae ndani yangu ndani yako
Nipate uzima wa milele } *2

 1. Karibu Yesu wangu, shinda nami daima
  ( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
  Siku zote za maisha yangu
 2. Karibu Yesu wangu, kitulizo cha kiu
  ( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
  Siku zote za maisha yangu
 3. , Karibu Yesu wangu, kitulizo cha njaa
  ( moyoni mwangu ) uwe na mimi,
  Siku zote za maisha yangu