Nitajongea Meza Yako

Nitajongea Meza Yako
ChoirSt. Antony of padua Magomeni
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerF. A. Nyundo
VideoWatch on YouTube

Nitajongea Meza Yako Lyrics

 1. Nitajongea meza yako, ee Bwana
  Nitajongea meza yako, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja

  { Ninakuja kwako, ee Bwana (kweli)
  Nikakupokee, ee Bwana
  Kwani wewe ndiwe uzima } *2

 2. Chakula kina uzima, ee Bwana
  Huwashibisha wenye njaa, Bwana nipokee nakuja
 3. Kinywaji kina uzima, ee Bwaba
  Huwashibisha wenye kiu, Bwana nipokee nakuja
 4. Ni meza yenye mapendo, ee Bwana
  Yenye kuleta amani, ee Bwana, Bwana nipokee nakuja