Njoo Kwangu ee Bwana Yesu Lyrics

NJOO KWANGU EE BWANA YESU

@ D. Kalolela

{ Njoo kwangu, ee Bwana Yesu, njoo kwangu
Shinda kwangu nami ndani yako
Nipe nguvu za kukupenda, niishi na wewe siku zote } *2

  1. Moyo wangu unafarijika, ninapokupokea Yesu wangu
    Sauti yako ninaisikia, unapoingia moyoni mwangu
  2. Nafsi yangu inashangilia, Yesu wangu unaposhinda nami
    Mwili wangu hupata tulizo, udhaifu wa mwili hutoweka
  3. Nijalie furaha ya kweli, nidumu katika imani lako
    Nijalie upendo wa kweli, niwapende wenzangu siku zote
Njoo Kwangu ee Bwana Yesu
COMPOSERD. Kalolela
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
  • Comments