Ni Neno Jema Lyrics

NI NENO JEMA

@ John Mgandu

{Ni neno jema kumshukuru Bwana
Ni neno jema kumshukuru Bwana } *2

 1. Ni neno jema kumshukuru Bwana wangu
  Na kuliimbia jina la aliye juu
  Na kuzitangaza rehema zake zote
  Na uaminifu wake wakati wa usiku
 2. Waliopandwa katika nyumba ya Bwana
  Watastawi katika nyua za Bwana
  Watazaa matunda hadi uzeeni
  Watajaa utamu hawatakuwa na ubichi
Ni Neno Jema
COMPOSERJohn Mgandu
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CATEGORYZaburi
REFZaburi 92
SOURCEKanisa kuu la Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Jimbo kuu la Arusha
 • Comments