Siku Ile Inayokuja Lyrics

SIKU ILE INAYOKUJA

@ J. C. Shomaly

Kwa maana angalieni, siku ile inayokuja
Inawaka kama tanuru kama tanuru
Watu wote wenye kiburi, nao watendao uovu
Watakuwa kama makapi, kama makapi
{ Wengi nao watajiuliza, hatukutoa pepo,
Na kwa ji-na la-ko kufa-nya mi-ujiza } *2

  1. Jiandae ndugu yangu siku hiyo yaja
    Kila mtu atalichukua furushi lake
  2. Jiulize kwa makini utakuwa wapi
    Ukiitwa leo au kesho ujiulize
  3. Siku ile inakuja hatujui saa
    Kila mtu atalichukua furushi lake
Siku Ile Inayokuja
ALT TITLEKwa Maana Angalieni
COMPOSERJ. C. Shomaly
CATEGORYTafakari
SOURCESt. Paul's Students Choir, University of Nairobi
  • Comments