Bustanini Getsameni

Bustanini Getsameni
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerP. F. Msasa
Views4,437

Bustanini Getsameni Lyrics

  1. Bustanini Getsameni, Yesu akaanguka kifudifudi, akaomba

    { Baba yangu ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke
    Lakini si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe} *2

  2. Akawachukua na wale wana wawili wa Zebedayo
    Akaanza kuhuzunika na kusononeka
  3. Roho yangu ina huzuni, roho yangu ina huzuni
    Roho yangu ina huzuni, kiasi cha kufa