Hii ni Kwaresma

Hii ni Kwaresma
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumHii ni Kwaresma
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Hii ni Kwaresma Lyrics

Hii ni kwaresma, hii ni kwaresma, mwanadamu ukumbuke *2
{ Ndio wakati wa kuacha dhambi
Ndio wakati wa kuacha maovu
Ndio wakati wa kufunga na kutoa sadaka, kwa maskini } *2

  1. Rarueni mioyo yenu, wala sio mavazi
  2. Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote
    Kwa kufunga, na kwa kulia na kwa kuomboleza