Maisha ni Safari Lyrics

MAISHA NI SAFARI

@ Fr. Aloyce Msigwa

{Maisha ni safari,
Na mwisho wa safari, popote pale } * 2

 1. { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
  Ndani ya maji mwisho, popote pale } * 2
 2. { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
  Ndani ya gari mwisho, popote pale } * 2
 3. { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
  Ndani ya nyumba mwisho, popote pale } * 2
 4. { Ukifika mahali pale alipopanga Mwenyezi
  Pale mlimani mwisho, popote pale } * 2
 • Comments