Mwanadamu Kumbuka

Mwanadamu Kumbuka
ChoirMtoni Choir
AlbumMtazame Mkombozi Msalabani
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerDeo Kalolela

Mwanadamu Kumbuka Lyrics

Mwanadamu kumbuka u mavumbi wewe
Na mavumbini utarudi

 1. Ardhi imeelaaniwa kwa ajili yako
  Kwa uchungu takula mazao yake
 2. Michongoma na miiba itakuzalia
  Nawe utakula mboga za bondeni
 3. Kwa jasho la uso wako utakula
  Hata utakapoirudia ardhi
 4. Kwa maana wewe u mavumbi
  Na mavumbini utarudi