Yesu Usinichoke

Yesu Usinichoke
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
ComposerBernard Mukasa
Musical Notes
Time Signature3
4
Music KeyG Major
NotesOpen PDF

Yesu Usinichoke Lyrics

Yesu, Yesu, usinichoke, niguse tena

  1. Najutia kurudia uliyokwisha nisamehe, na kuninusuru
  2. Ninajua sistahili kurudi tena mbele yako, nimezidi sana
  3. Hata hivyo nifanyeje nafsi yangu yaangamia Yesu mwema njoo
  4. Ikumbuke huruma yako takatifu na ya milele isiyo idadi