Nimekukimbilia Wewe Bwana

Nimekukimbilia Wewe Bwana
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
SourceDar-es-Salaam

Nimekukimbilia Wewe Bwana Lyrics

Nimekukimbilia wewe Bwana, nisiaibike milele
Ee Baba mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu * 2

 1. Umenikomboa ee Bwana Mungu wa kweli
  Ee Baba mikononi mwako naiweka Roho yangu
 2. Kwa sababu ya watesi wangu nimekuwa laumu
  Naam hasa kwa jirani zangu
 3. Na kitu cha kutisha kwa rafiki zangu
  Walioniona njiani walinikimbia
 4. Nimesahauliwa kama mtu asiyekumbukwa
  Nimekuwa kama chombo kilichovunjika
 5. Maana nimesikia masingizio ya wengi
  Hofu ziko pande zote