Amani Itawale

Amani Itawale
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumAsifiwe Bwana Mungu (Vol 8)
CategoryPeace
ComposerLucas Mlingi
SourceSt. Theresia Arusha Cathedral
Musical Notes
Timesignature2/4
MusickeyA

Amani Itawale Lyrics

Mungu tunaomba amani, hapa Kenya
Tupe umoja upendo, mapatano
{ Amani itawale kwa watu wote (pia)
Itawale Kenya amani tawala
katika nchi yetu nzuri } *2
{ Tuwe na upendo kwa watoto, kwa kina mama,
Kwa wazee wote,
na kwa vijana wote nguvu ya taifa } *2


1. Ee Mungu Baba, twaomba amani
Linda viongozi, wajalie afya

2. Ufukuze njaa, magonjwa na vifo
Utawale pote milele amina

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442