Heri Mume Yule Lyrics

HERI MUME YULE

@ Ochieng Odongo

Heri mume Yule, aliye na mke mwema x2.
Siku za maisha yake, siku za maisha yake zitaongezwa tena maradufu x2

  1. Mke hodari humfurahisha mumewe, yeye ni tunu bora kutoka kwa Mungu.
  2. Mwenye huleta Baraka juu ya Baraka, hata huleta wema usio na bei.
  3. Mwenye rehema humpendeza mumewe, na maarifa yake yatamnenepesha.
  4. Kama ilivyo jua lipambazukavyo, ndivyo uzuri wa mke mwema ulivyo
    ivume sana mito ipige makofi *2.
Heri Mume Yule
COMPOSEROchieng Odongo
CATEGORYHarusi
  • Comments