Kitoto cha Mbingu Lyrics

KITOTO CHA MBINGU

@ Credo Mbogoye

KITOTO CHA MBINGU

Lala kitoto cha Mbingu *4
{Sinzia (kitoto) sinzia
Malaika wa mbingu atakutunzia (atakutunzia) } *2

 1. Lala kitoto cha Mbingu
  Sinzia kitoto cha mbingu
  Lala Mwana wa Mungu
 2. Maria naye Yosefu
  Wanamtunza kitoto
  Lala Mwana wa Mungu
 3. Lala kitoto cha mbingu
  Uliye mkombozi wetu
  Lala Mwana wa Mungu
 4. Lala kitoto cha mbingu
  Masiha mkombozi wetu
  Lala Mwana wa Mungu
Kitoto cha Mbingu
COMPOSERCredo Mbogoye
CHOIRKwaya ya Mt. Yuda Thadei Mbeya
ALBUMKitoto cha Mbingu
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments