Misa Matilda Lyrics

MISA MATILDA

@ Bernard Mukasa

BWANA UTUHURUMIE - MISA MATILDA

 • Bwana utuhurumie Bwana, Bwana,
  Bwana utuhurumie, Bwana, Bwana utuhurumie
  Bwana, Bwana utuhurumie
 • Kristu utuhurumie, Kristu utuhurumie
  Kristu utuhurumie
 • Bwana . . .

UTUKUFU KWA MUNGU JUU - MISA MATILDA

 • { Utukufu kwa Mungu juu, utukufu kwa Mungu juu
  Utukufu kwa Mungu juu, kwa Mungu juu mbinguni } *2
  { Na amani duniani (amani) na amani duniani
  Na amani duniani kwa watu wenye mapenzi mema } *2
 • Tunakusifu - tunakuheshimu,
  Tunakuabudu iyo iyo tunakutukuza tunakushukuru
 • Kwa ajili kwa ajili ya utukufu
  Utukufu utukufu wako mkuu
 • Ee Bwana Mungu mfalme wa mbinguni
  Mungu Baba mwenyezi mwenyezi
 • Ee Bwana Yesu, Bwana Yesu Kristu
  Mwana wa pekee wa Mungu
 • Ee Mwana Mungu, Mwanakondoo wa Mungu wa Mungu
  Mwana Mwana wa Baba wa Baba
 • Mwenye kuondoa dhambi, za dunia utuhurumie
  Ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia, pokea ombi letu
 • Ewe mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie
  Kwa Baba utuhurumie
 • Kwa kuwa ndiwe uliye peke yako mtakatifu *2
  Peke yako Bwana (Bwana) peke yako mkuu
  Peke yako mkuu Yesu Kristu
  Pamoja na roho, pamoja na roho mtakatifu
  katika utukufu - Utukufu wa Mungu baba amina
 • Amina ....

ALELUYA - MISA MATILDA

 • Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya
  (Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya Aleluya) x 2
 • Siwaiti tena watumwa kwa maana mtumwa hajui
  hajui atendalo Bwana wake atendalo Bwana wake.
 • Lakini ninyi nimewaita rafiki kwa kuwa yote
  niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu nimewaarifu Aleluya

MTAKATIFU - MISA MATILDA

 • { Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu Mtakatifu,
  Mtakatifu Bwana Mungu wa majeshi } *2
  Mbingu na dunia zimejaa, zimejaa utukufu wako
 • Hosanna, hosanna hosanna juu Mbinguni hosanna juu
 • Hosanna, hosanna hosanna juu Mbinguni mbinguni
 • [s] Mbarikiwa mwenye kuja, kwa jina -
  Mbarikiwa mwenye kuja kwa jina
  Mwenye kuja kwa jina la Bwana, la Bwana
  Mwenye kuja kwa jina la Bwana, hosanna
 • [ b] Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
  [w] Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
  Hosanna hosanna, hosanna hosanna hosanna, hosanna
  Hosanna hosanna, hosanna, hosanna, hosanna
  Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni (hosanna)
  Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni (hosanna Mbinguni)
  Hosanna hosanna hosanna juu mbinguni

MWANAKONDOO - MISA MATILDA

 • Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,
  uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
 • Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,
  uondoaye dhambi za dunia utuhurumie
 • Mwanakondoo, wa Mungu, uondoaye dhambi za dunia,
  utujalie amani utujalie utujalie amani utujalie tujalie amani
Misa Matilda
COMPOSERBernard Mukasa
CHOIRSt. Kizito Makuburi
ALBUMMisa Matildah
CATEGORYMisa (Sung Mass)
 • Comments