Matoleo ya Wana wako

Matoleo ya Wana wako
Alt TitleHiki kidogo
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerBernard Mukasa
Views6,735

Matoleo ya Wana wako Lyrics

  1. Hiki kidogo, kikakupendeze, ni matoleo ya wana wako *2
  2. Mkate divai madhabahuni, ni matoleo ya wana wako
  3. Malimbuko ya juhudi zetu, ni matoleo ya wana wako
  4. Fedha tulizotolea jasho, ziwe ishara ya nia zetu…
  5. Sala maombi shukrani, na nyimbo zetu zipae kwako…
  6. Tukutukuze katika yote, uhimidiwe milele yote…