Wachungaji Wakaenda kwa Haraka

Wachungaji Wakaenda kwa Haraka
ChoirTBA
CategoryNoeli (Christmas Carols)
ComposerStanslaus Mujwahuki

Wachungaji Wakaenda kwa Haraka Lyrics

Wachungaji wakaenda kwa haraka
wakamkuta Maria na Yosefu (na yule)
Mtoto mchanga amelala amelala horini

  1. Malaika akawaambi, ninyi,
    msiogope nawaletea habari njema
  2. Ya furaha kuu itakayokuwa
    kwa watu wote Mwokozi wenu amezaliwa
  3. Katika mji wa Daudi, leo,
    amezaliwa Mwokozi ndiye Kristu Bwana

Favorite Catholic Skiza Tunes