Altare Twendeni

Altare Twendeni
Choir-
CategoryEkaristia (Eucharist)

Altare Twendeni Lyrics

Altare altare (altare twendeni) *2
Altare yake Mungu Baba twende *2

 1. Altare yake Mungu Baba njoo twendeni
  Tumealikwa leo
  Tumsifu Mungu Baba wetu wa milele
  Ni muumba wetu asifiwe
 2. Mwili wako na damu yako ni chakula cha roho
  Uzima wangu raha yangu
  Asante Mungu wetu Baba umetuchagua
  Ili tuwe wako hadi mwisho