Login | Register

Sauti za Kuimba

Sauti za Kuimba

Sauti za Kuimba is the largest library of songs from East African Catholic community. Nyimbo za kwaya mbalimbali za kikatoliki kutoka Afrika Mashariki.

Sauti za Kuimba


Sauti za Kuimba ni talanta tumepewa na Mungu tumwimbie
Ni talanta, tutumie watu waokolewe, wauone uso wa Mungu
Tuwafariji waombolezao, tuwape tumaini walokata tamaa
Tuwateteee wasio na mtetezi, walionyamazishwa na kelele za dunia
Tuwaburudishe waliozubazwa na taabu za dunia


Sauti za Ngoma. Sauti ya kinanda. Sauti ya kinubi. Sauti ya kayamba. Sauti ya zeze. Sauti za Ala Zote za Muziki. Pamoja na sauti tamu tulizojaliwa. Hizi ni Sauti za Kuimba.


Request for Lyrics here.


Sauti Tamu Tamu

Download Sauti Tamu Mobile App from Google Play to access music audios, videos, music pieces, midi etc, from St. Paul's Students Choir University of Nairobi and other choirs.


Hubirini kwa Sauti ya Kuimba, tangazeni haya, yatamkeni mpaka mwisho wa dunia.