Amani Tutakiane
Amani Tutakiane | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Sign of Peace/Kutakiana Amani |
Views | 5,546 |
Amani Tutakiane Lyrics
- Amani yake Bwana - amani amani tutakiane
Amani yake Bwana - amani amani tutakianeKatika kanisa letu - amani tutakiane
Na kwa wakristu wote - Aamani mani tutakiane
Upendo wake Bwana ... - Neema yake Bwana ...
- Furaha yake Bwana ...
- Fadhili zake Bwana ...