Amani ya Bwana

Amani ya Bwana
Performed by-
CategorySign of Peace/Kutakiana Amani
Views8,023

Amani ya Bwana Lyrics

 • Amani
  amani ya Bwana nakupa aa
  Amani ya Bwana nakupa

  [Nishike mkono] nishike mkono Bwana wangu
  Mimi na wewe
  mimi na wewe Bwana wangu
  Uniongoze
  Uniongoze Bwana wangu
  Mpaka mbinguni
  Mpaka mbinguni Bwana wangu


  Upendo........
 • Uzima..........
 • Furaha..........
 • Baraka..........
 • Neema..........
 • Fadhili..........