Amani ya Bwana Yesu

Amani ya Bwana Yesu
Choir-
CategorySign of Peace/Kutakiana Amani

Amani ya Bwana Yesu Lyrics

 • Amani ya Bwana Yesu, amani iwe nawe
  Amani ya Bwana Yesu, amani iwe nawe

  Ewe mwenzangu pokea [amani]
  Amani [ya Yesu]

 • Upendo...
 • Neema...
 • Faraja...
 • Baraka...
 • Furaha...