Amin Amin Nawaambia

Amin Amin Nawaambia
Choir-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
SourceTanzania
VideoWatch on YouTube
Musical Notes
Timesignature3/4
MusickeyKey C Major

Amin Amin Nawaambia Lyrics

1. Amin, amin, nawaambia, ninawaambia
Amin, amin, mmoja wenu, atanisaliti

Nitampiga mchungaji wa kondoo oo
Na kondoo wa kundi lake watatawanyika*22. Mwana wa Adamu aenda zake, ilivyoandikwa
Ole ni wake mtu yule, amsalitiye

Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana
Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa *23. Twaeni mle mwili wangu, uwe ukumbusho
Twaeni mnywe damu yangu, iwe ukumbusho

Nitampiga mchungaji wa kondoo oo
Na kondoo wa kundi lake watatawanyika*24. Amini, amini na kutubu, enyi mataifa
Amini, amini na kutubu, turudi kwa Bwana

Ole wangu, ole wako, umsalitiye Bwana
Ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Zaeni Matunda Mema 5814860
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442