Amka Kinanda
Amka Kinanda | |
---|---|
Performed by | Kwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha |
Album | Nikiziangalia Mbingu (vol 18) |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Composer | Victor Aloyce Murishiwa |
Views | 20,255 |
Amka Kinanda Lyrics
{ Ee Mungu Mungu wangu (moyo)
Moyo wangu u thabiti (thabiti)
Nitaimba nitaimba, nitaimba zaburi
{ Amka kinanda ewe kinanda - amka ewe kinanda
Amka kinubi ewe kinubi - amka ewe kinubi
Nitaamka alfaji-ri nitamuimbia Bwana. } *2- Ee Mungu nitakushukuru kati ya watu
Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa - Kwa maana fadhili zako ni za milele
Na uaminifu wako hata juu mawinguni - Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu yote
Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako