Amka Kinanda

Amka Kinanda
Performed byKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryThanksgiving / Shukrani
ComposerVictor Aloyce Murishiwa
Views18,657

Amka Kinanda Lyrics

  1. { Ee Mungu Mungu wangu (moyo)
    Moyo wangu u thabiti (thabiti)
    Nitaimba nitaimba, nitaimba zaburi
    { Amka kinanda ewe kinanda - amka ewe kinanda
    Amka kinubi ewe kinubi - amka ewe kinubi
    Nitaamka alfaji-ri nitamuimbia Bwana. } *2

  2. Ee Mungu nitakushukuru kati ya watu
    Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa
  3. Kwa maana fadhili zako ni za milele
    Na uaminifu wako hata juu mawinguni
  4. Ee Mungu utukuzwe juu ya mbingu yote
    Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako