Amtegemeaye Bwana

Amtegemeaye Bwana
ChoirSt. Luke Oloitoktok
CategoryZaburi
ReferencePs. 125

Amtegemeaye Bwana Lyrics

{[s] Amtegemeaye Bwana Mungu,
[w] Ni kama Mlima Sayuni ) *2
(Twakutegemea wewe maana hatutatishika
Kwa maana, sisi ni watoto wako
nawe ni Baba yetu)*2

  1. Kwa uwezo wako Baba ulio nao
    Ndiyo maana mataifa yanakusifu
  2. Twaamini kwamba wewe ndiwe Muumba
    Ndiyo maana sisi Bwana twakutegemea
  3. Ee Bwana twakuomba ututazame
    Angalia mataifa yakutegemee