Amua Mwenyewe

Amua Mwenyewe
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMshike Mshike (Vol 5)
CategoryEkaristia (Eucharist)
ComposerJ. C. Shomaly

Amua Mwenyewe Lyrics

{ Amua mwenyewe ndugu unayesikiliza,
Kwa moyo wako pia matendo yako
Amua mwenyewe ee amua mwenyewe } *2
Siku itafika tena yaja,
Hakutakuwa kuamua, wala kuambiwa maana
{ Kila mtu atauchukua, atauchukua
mzigo wake mwenyewe } *2

  1. Ndugu amua mwenyewe leo,
    Uchague kwa moyo wako.
  2. Uache dhambi umrudie Mungu,
    Uchague kwa moyo wako.
  3. Toa sadaka za kumpendeza,
    Uchague kwa moyo wako.