Asante Bwana Mungu
Asante Bwana Mungu | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Views | 6,555 |
Asante Bwana Mungu Lyrics
Asante Bwana Mungu,
[t] Asante asante Mungu wangu
Asante asante Muumba wangu
Twasema asante- Umejawa na rehema umejawa na upendo
Twaja kwako ewe Bwana utubariki *2 - Sisi ni wakosefu twaomba msamaha
Kwa dhambi tutendazo twasema asante *2 - Ubarikiwe Baba uinuliwe Bwana
Uhimidiwe Bwana siku zote *2