Asante Bwana Mungu
Asante Bwana Mungu | |
---|---|
Choir | - |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Asante Bwana Mungu Lyrics
Asante Bwana Mungu,
[t] Asante asante Mungu wangu
Asante asante Muumba wangu
Twasema asante
1. Umejawa na rehema umejawa na upendo
Twaja kwako ewe Bwana utubariki *2
2. Sisi ni wakosefu twaomba msamaha
Kwa dhambi tutendazo twasema asante *2
3. Ubarikiwe Baba uinuliwe Bwana
Uhimidiwe Bwana siku zote *2
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Tazama Tazama | 7482442 |